Wanaume nchini Eritrea, wameagizwa na serikali kuoa mke zaidi ya mmoja, la sivyo unajiweka kwenye hatari ya kwenda jela.
Serikali pia imeahidi kusaidia gharama za harusi pamoja na nyumba. Sheria hii imekuja kutokana na uhaba wa wanaume nchini humo uliotokana na vita kati ya Eritrea na Ethiopia ambapo zaidi ya wanajeshi 150,000 waliuwawa.
Sheria hii haiwahusu wanaume peke yao, mwanamke atakaye kataa mume wake asioe mwanamke wa pili anaadhibiwa kwa kifungo cha maisha jela.
Jina la Eritrea linamaanisha “Red Sea” kwa Kigiriki.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za wasichana wa Eritrea.
No comments:
Post a Comment